Showing posts with label Michezo na Burudani. Show all posts
Showing posts with label Michezo na Burudani. Show all posts

Tuesday, 18 February 2014

HAWA NI MOJA KATI YA WASANII WA 'KAHAMA HEROES ARTS GROUP'

Hawa ndio wasanii nguli wa filamu wa bongo movu kutoka kahama.
waigizaji

UNAJUA KWANINI MICHAEL JORDAN ALIVAA JEZI NAMBA 23? ingia hapa uone

Michael Jordan ni mchezaji wa kikapu maarufu Duniani, alipenda kuvaa jezi iliyokuwa imeandikwa namba 23, akiwa na maana ya maandiko yaliyo katika biblia kuwa Mungu ndiye mchungaji wangu....yaani ZABURI 23.