Makutano ya barabara ya kuingia Stendi ya Nyegezi mkoani Mwanza, kumetoa ajali ya magari mda huu wa saa 5 asubuhi, ambapo lori(gari kubwa la mizigo) limegonga kwa nyuma gari la PEPSI liliokuwa limebeba makreti ya soda. Ona matukio katika picha:

wananchi mashuda wakiangalia ajali hiyo.
 |
walivyogongana kwa nyuma. |
 |
Baada ya askari wa usalama barabarani kufika wananchi wakaanza kuondoka eneo la tukio. |
 |
Hivi ndivyo ajali ilivyotokea hapa Stendi Nyegezi. | | | | | | | | |
|
No comments:
Post a Comment