Saturday, 25 January 2014

CHADEMA BWANAAA,,,,,,HAHAHAHAHAH

Baadhi ya wafuasi wameilaumu blogu ya Mwafrika kuwa haioneshi mikutano yao, sisi kama Blogu ya Mwafrika hatuna chama ukituletea habari tunawekaga uwanjani. e-mail yetu ipo hapo juu kwahiyo hakuna shida.
Ni mafuriko ya ajabu mda huu Mjini karatu.Kamanda Tundu Lissu km kawaida yake..wapi masnitch? Wapi vibaraka wa Ccm? Kazi inaendelea
baadhi ya mikutano ya CDM

No comments:

Post a Comment