Blogu ya Mwafrika leo imetembelea akaunti moja ya ukurasa wa sura ya kitabu wa ndugu CK Masanja na ikakuta sentensi inayogusa jamii kwa karibu hasa wabunge, ni kweli tunajua kuna wabunge wapo elimu yao ni darasa la saba na wengine ni kidato cha nne na je katiba mpya itasimama wapi kuokoa wabunge ambao hawatatimiza vigezo: ungana na Masanja hapa chini na fatilia watu walivyo toa maoni yao baada ya post yake:
CK Masanja akiwa na G. Nyakarungu |
Hivi sheria ikibadilishwa na kuwa ili uwe mbunge sharti uwe angalau na degree moja chadema tunaweza kubaki na wabunge wangapi?
- CK Masanja, Habib Mchange and Godfrey Dominick like this.
- CK Masanja Atabaki zito akunay mdee na lisu mwingine nani vile waliotukana lazima watoke kwenye friends list yangu
- Jefta Fula Jr. Watoto Wakiume Status Za Kike
Watoto Wakiume Majungu kutwa nzima
Watoto Wakiume Wambea Mbea
Watoto Wakiume Wanajituma FB Kuliko Kazini
Mtoto Wa Kiume Status Nyingi, Majigambo Kwa Bundle Ya Kuhongwa
Mtoto Wa Kiume Tafuta Maisha Wacha Majungu.. Umbea.. Unafki.. - Emmanuel Samila Mpumbavu Wewe Eti Waliotukana Lazima Watoke Kwenye List ya Friends Zangu! Unamsaidia mtu humu bwege Wewe? Anza Kunitoa Mimi bata Wewe
- William Charles Lissu, Nassari, Christina Lissu, David Silinde, Prof. Kk. Kahigi, Ezekia Wenje, Suzan Lymo, mdee, Akunay, Naomi Kaihula, Leticia Nyerere,
- William Charles Kaka Unahisi Mtu Kama Mnyika Anahitaji Degree Ili Ajue Kipi? Kipi Ambacho Hakifahamu Kwasababu Ya Kutokua Na Karatasi Linaloitwa Degree?
No comments:
Post a Comment