Thursday, 16 January 2014

MNAOPENDA MAPENZI SOMENI HAPA......

NIMEAMUA KUWA MFUNGWA/MTUMWA WA MAPENZI DAIMA.

Katika Dunia ya leo Mapenzi yamekuwa ndio chachu ya maisha, kipindi cha nyuma kwa Tanzania ilikuwa ni ngumu kusikia maumivu ya mapenzi lakini kutoka na sayansi na teknolojia mapenzi ya sasa yamekuwa na maumivu makubwa sana, Blogu ya Mwafrika imefanya utafiti ikagundua kuwa kuna watu wengi sana leo si vijana wala wazee wanaumizwa na mapenzi, leo hii usishangae mtu kampiga risasi mke wake au demu wake kisa mapenzi hasa usaliti ndani ya mahusiano. Je watu wengine wanasemaje juu ya mapenzi? Ungana nasi Blogu ya Mwafrika katika maoni ya wadau juu ya mapenzi ya kuwa mfungwa wa mapenzi, Jewewe msomaji wetu unalipi juu ya mapenzi,,,,,,jimwage kwa maoni yako.......
Cover photo
YOTE HAYA NI KWA AJILI YA MAPENZI TU.



No comments:

Post a Comment