Wakati mwingine huwa ni ugumu wa maisha na wakati mwingine ni matatizo ya kisaikolojia na wakati mwingine huwa ni changamoto katika mapenzi, lakini mtu ambaye ni mtumishi akijinyonga hii huwa ni jambo la kusikitisha maana tunaamini mtu wa level ya utumishi ameshajitambua kifikra hivyo hawezi kufanya vitu vya ajabu kama kujinyonga. hebu ona hiki kisa hapa kama jinsi vijana walivyoandika katika ukurasa wa facebook.Kama ni kweli Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya mwalimu.
Sadiki Ramadhani commented on this.
R.I.P SIR SHANGO! WE REMEMBER U AS A STACKHOLDER IN EDUCATION. VIVA SHANGO!
- Issa Mtaki Mwili wa marehemu Mwl Rafael shango unaelekea kwao DOLOMONI kwa mazish,2tamkumbuka sn marehemu
- Aloyce Massawe Kweli kufa tutakufa! Mwl kujinyonga ni mtihani kidogo kwani sababu hasa ni nn? Kama life ni tafu na linatunyonga sasa unajinyonga mwenyewe inakuaje?
- Sadiki Ramadhani Hatujui kwani ni kijana aliyeanza kazi mwaka jana "IMEBAKI KUWA SIRI YAKE" IT IS A PARSONAL ISSUE.
- Jumanne Ntundah R.I.P! MWL SHANGO INAUMA SANA NILIVYSHUHUDIA WATU WAKILIA KWA HUZUNI NA MAJONZI MAKUBWA KWELI UMETUACHA WAPWEKE SANA(TUJIFUNZE KUPITIA KIFO HIKI) UKIPWA NA TATIZO USIJIHUKUMU OMBA USHAURI KWA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI inalillah R
jamani mbona mnanirusha roho hii shango,kuna walimu wangu watatu waliwahi kunifundisha wenye majina kama haya,hebu nipeni picha kamili wapendwa
ReplyDelete