UCHAGUZI MKUU 2015 HAYA YATATOKEA KWA UPINZANI.
1. Wale wanaotengeneza majimbo yao kwa sasa nayanaonekana kukubalika, watu hao watazungukwa na viongozi wa juu wa vyama na kuweka wagombea wao wanaowataka wao na hivyo kutatokea vurugu.
2.Wale watakao wekwa na viongozi wa juu kwa maslahi yao hawatashinda na watazomewa sana.
3.Wale wenye majina watakaofa...nyiwa hujuma hizo kama mgombea binafsi itapita basi watasimama huko kama haitapita wataungana na vyama vingine ili kuwaangusha machaguo ya mabosi wao.
4.Kutatokea vijana watakaopendwa na vyama vyote kitu ambacho kitaleta hofu kwa viongozi wajuu na watakapo taka kucheza hujuma, vijana hao watakuwa tayari wameshajipanga na watawaumbua mabosi wao.
5.Kutatokea mamluki wanaotumika na viongozi wa juu ambao kula yao na kuishi kwao inatokana na hao viongozi, watakuwa wanawachonganisha watu wenye nia ya dhati na Taifa hili na mwisho wa siku watauumbuka sana.
6. Kutatokea watu wenye pesa wanaotaka kugombea ubunge na watawanunua viongozi wa juu ili wakagombee majimbo wanayodhani watashinda kwa kuwaengua waliomwaga jasho lao kujenga majimbo hayo na mwisho wa siku watashindwa vibaya sana na vyama vingine.
7.Kutatokea marafiki wa mabosi watakaopelekwa kwenye majimbo ya baadhi ya watu na kutatokea msuguano mkali sana.
8.Viongozi wa majimbo watageukana kwa kuangalia mabosi wao au mtu wao.
9. Viongozi wengi wa Kitaifa watakuwa CORRUPTED MIND na vyama vingine ili majimbo yapite bila kupingwa.
10.Wale wanaojitoa leo, wataweka historia ya kuwaumbua watakofanya hujuma na wao kushinda kwa kishindo.
Mwandishi wa makala hii anajulikana kwa jina la DEOGRATIUS KISANDU.
AKSANTENI.

|
DEOGRATIUS KISANDU |
AKSANTENI.
No comments:
Post a Comment