Taarifa ya habari ya Radio Kahama imeweka bayana ukweli wa pande zote mbili, kutokana na taarifa kuwa kuna viongozi wa jimbo la kahama mjini wamevuliwa uongozi akiwemo Diwani na kutuhumiwa kuiba vifaa vya ofisi, kwa upande wa watuhumiwa wamekanusha na kudai ni wao wenyewe ndio wamefanya hicho kitendo.
TAKE NOTE: siasa za aina hii zitatufikisha wapi, je kuwavua watu uongozi ndio suluhu ya matatizo?
No comments:
Post a Comment