"Jana Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imefanya
kazi ya kufuatilia kwa ukaribu taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa
Bajeti ya Halmashauri ya Jiji la Mwanza mpaka saa sita za usiku. Kuna
mengi tumeyabaini na tunayafanyia kazi. Huwezi amini namna ripoti ya
Halmashauri hii ilivyoandikwa hovyo hovyo tu. Walizoea kufanya kazi bila
kusimamiwa na watu serious. Nina maswali mengi sana kichwani, kuwa ni
kwa maksudi ama ni ubovu wa watendaji wa Jiji hili! Kama Kamati yetu
ingepewa muda zaidi wa kufanya kazi, kwa hakika, tungeleta mabadiliko
makubwa sana kwenye uwajibikaji wa local governments nchini." Anasema Dkt. Kigwangalah mbunge wa Nzega.
Zaidi ingia katika akaunti yake hapa:https://www.facebook.com/hamisi.kigwangalla?viewer_id=100001621257775
No comments:
Post a Comment