
Chama cha NCCR-Mageuzi kinatarajia kufanya Uchaguzi wa kihistoria na kidemokrasia wiki hii tarehe 18.1.2014 ambapo Mwenyekiti Mh.Mbatia anaonekana bado kuwa chaguo la wajumbe kutokana na juhudi zake za kukuza chama na kuimarisha mshikamano ndani na nje ya chama, huku Katibu Mkuu wake Samwel Ruhuza naye akiendelea kuitetea nafasi yake. Blogu ya Mwafrika inawatakia Wana NCCR-Mageuzi Uchaguzi wa haki, huru na Demokrasia.
No comments:
Post a Comment