Monday, 13 January 2014

WILAYA YA KAHAMA KUSUKWA UPYA......Soma yaliyojiri hapa.





Majadiliano ya pamoja ya vijana wa kahama-jiji DSM







Ndugu Ruth Malack akichangia mjadala jijini DSM
Ndugu Derick Mkuwa akijibu swali kikaoni.

Chakula cha pamoja cha vijana wa kahama-jijini DSM

Vijana wa Kahama wakipata msosi wa pamoja jioni jana@Lamada hotel-DSM.

Ndugu Machimu Wiliam akiwasilisha ajenda ya Elimu kikaoni-jijini DSM.

Ndugu Godfrey Msalaka akichangia ajenda.

Mjadala ukiendelea.

Mwalimu Deogratius Kisandu akichangia mjadala jijini DSM.

 
Katika kile kinachoitwa Umoja wa pamoja , jana tarehe 12 januari 2014 Vijana walikutana na kujadili mambo ya msingi ya kujenga Utaifa zaidi katika jumuiko la pamoja la Vijana wanaotokea wilaya ya kahama mkoa wa Shinyanga, kikubwa wamejadili kuandaa mswada wa elimu na pamoja kuonana na waziri wa madini ili kumshirikisha mbinu mpya ya kuwakomboa vijana wa kitanzania wanaoishi karibu na migodi na namna serikali itakavyo faidika na mpango huo. Pia walikubaliana kuunda Umoja w Pamoja wa kusaidiana na kupeana elimu nayale yanayojili Tanzania, umoja huo umekuja baaada ya kijana mmoja kutoka Kahama kupata matatizo na namna ya kupata matibabu na hivyo wajumbe wote wakakubaliana kuanzisha umoja huo. Blogu ya Mwafrika inawapongeza kwa kujadili mambo mhimu na yenye tija kwa Taifa.Source:Blogu ya Mwafrika@2014.


Vijana wa kahama katika picha ya Pamoja-jijini DSM.


1 comment: