Wednesday, 15 January 2014

CROSS-CHECK ABOUT ME @ NCCR-MAGEUZI YALIYOJIRI.

Ni jambo la Kheri na la Kikatiba kuwa mwanachama wa chama cha NCCR-Mageuzi, naamini katika demokrasia maana Demokrasia huambatana na maendeleo. Binafsi kama binadamu nina amini katika uwepo wa Mungu na Baraka zake pia nina amini katika imani ya Mwafrika katika kuthamini cha Mwafrika. Siamini katika siasa za Magharibi zilizojaa vurugu na mihemuko ya kurudisha nyuma maendeleo huku wao wakisonga mbele na kutuachia matapishi. Mimi kama Mwafrika niliye zaliwa Afrika katika nchi ya Tanzania najisikia raha sana ninapo fanya Siasa zenye mlengo wa Tamaduni za Kiafrika iliyo jaa UTU na HEKIMA. Naitwa Deogratius Kisandu.

TULIPO KWA SASA NDANI YA NCCR-MAGEUZI.
Katika harakati za kumnadi mgombea udiwani(Nyamplukano) wilayani Sengerema juni 2013.
Ujenzi wa chama wilayani Kahama February 2013.
Vijana wakishiriki furaha ya pamoja na viongozi wa NCCR-Mageuzi wilayani kahama baada ya matembezi ya amani mwaka 2013.
Mkutano wa majumuisho wilayani kahama baada ya ziara kwenye kata 28.
Salaaaaaam Yatosha@Wilayani Kahama mwaka 2013.

Matembezi ya Amani siku ya Sikukuu ya PASAKA mwaka 2013 Wilayani Kahama kutokea Fantom kuja viwanja vya CDT, Deo Kisandu na Hemed Msabaha na kiongozi wa wilaya kahama wakiongoza matembezi kwa Amani tele. Kauli mbiu ilikuwa ni KUJENGA TAIFA LENYE UTU NA UPENDO PAMOJA NA UZALENDO.





 

No comments:

Post a Comment