Tuesday, 28 January 2014

DIWANI WA CHADEMA ATANGAZA KUGOMBEA UBUNGE MWANZA(ILEMELA).

kumekucha na makucha yake wakati wengine wakiweka nia ya Urais, Meya wa manispaa ya Ilemela jijini Mwanza ambaye pia ni Diwani wa Chadema aliyesimamishwa kichama ametangaza nia ya kugombea jimbo la Ilemela ambalo mpaka sasa linaongozwa na Mbunge wa Chadema.

Habari kamili nunua gazeti la TANZANIA BORA  ukurasa wa 5 toleo la Na.15 la januari23-29, 2014.

No comments:

Post a Comment