Wednesday, 29 January 2014

KISANDU: Wananchi tunataka serikali moja

KISANDU&MACHALI(MB)


Kwa mara yangu ya kwanza leo asubuhi namsikia huyu Kisandu akiongea ndani ya Star TV eti kwa kuwa vyama vinashindana hawa serikali mbili na wale Serikali tatu, basi sisi wananchi tunataka serikali moja ambayo itakuwa na Rais mmoja tu wa MUUNGANO yaani Tanganyika kutakuwa na waziri mkuu na Zanzibar pia kutakuwa na waziri mkuu.

Akijinadi eti hakuna nchi yenye marais watatu duniani huu ni umbulula. leo nimecheka mpaka basi.

No comments:

Post a Comment