Leo Blogu ya Mwafrika imepewa maoni mengi juu ya kuwa rais ajaye je ni lazima awe mtumishi wa serikali? hii imekuja baada ya Mwenyekiti wa Teachers and Students Forum_Tanzania Bw. Deogratius Kisandu kuandika katika ukurasa wake wa facebook kuwa rais ajaye ni lazima awe mtumishi, hebu ungana na Kisandu katika matamshi yake hapa na uone wadau walivyojitikeza kumjibu......
Kisandu akijadiliana na mgeni wake. |
Rais
ajaye ni lazima awe Mtumishi au alishawahi kuwa mtumishi wa Serikali
kwanza, anaweza kuwa mwalimu, Nesi, polisi, n.k hatuwezi kukabidhi nchi
watu wasio na historia ya utumishi. Na ndivyo ilivyo popote duniani
- Ibra Heem Nyang'ango, Emmanuel William Chiduo, Nassoro Ibrahim and 14 others like this.
- Msafiri Mzinga Utumishi si ualimu unesi na upolisi tu hata utumishi wa Mungu nao unaitwa utumishi tena uliotukuka
- Mwasakafyuka Samson kwahiyo Mkulima, Mfanyabiashara hafai kuwa Rais wa Nchi, daaah kama umepwaya kidogo
- Idsam Mapande · 15 mutual friendsNapata wasisi kwa huyu Msafiri Mzinga kwa kauli yake,kama mtu kashindwa kuwa muadilifu ktk kumtumikia mungu,ataweza kuwa muadilifu ktk kutumikia wanadamu? Samahani NIME........
- Alphage Ole Lusega · 40 mutual friendsHizi post wakati mwingine zinatufanya tukuelewe uwezo wako kichwani una mapungufu mengi. Mwl. Kisandu hao unaowafundisha wanatoka na kitu kweli hapo?
- Adolf Mkono Mwanzoni nilivyokujua/kutana (nadhani unakumbuka) nilifikiri wewe ni mtu makini ila ukweli ni kuwa unauwezo mdogo sana wa kufikiri,ni vigumu kumwambia maneno haya mtu anayedhani unamheshimu ila kwangu naona hii ndo njia rahisi ya kukufunda! Unajidhalilisha kwa post za kijinga kwani ni lazima upost?
- Roby Mmari Ndio maana wahenga walisema bora ukae kimya uonekane mwenye busara kuliko kuongea ukadhihirisha ujinga wako
- Roby Mmari Hoja ijibiwe kwa hoja,cha maana hapo kipi? Kuna uhusiano gani kati ya kuwa rais wa nchi na kuwa mtumishi?je aliyepo hakuwahi kuwa m2mishi? Naomba jibu
- Ben Wa Saanane Acha Uongo wewe....Mandela alikua Mtumishi wapi?Umefanya wapi utafiti?Lula Da Siva pamoja na kuwa Kiongozi wa Trade Union hakua mtumishi serikalini.Watawala wakamjengea hoja kama ya Dr.Ulimboka kuwa hakustahili kuongoza mgomo wa madaktari kwa kuwa hakua mfanyakazi wa serikali.Je,Jawahlal Nehru je?
- Debana Jayunga Wanaombeza na kumtukana Mwl Kisandu kwa kauli yake ni wehu' Maana yuko sahihi kabisa.
- Mwl Deo Kisandu Hatimaye kaka angu Ben wa Saanane umekuja, kumbuka enzi za mkoloni kulikuwa na Serikali ya mkoloni@iBen Wa Saanane
- Ben Wa Saanane Mbona kuna watu walifanya kazi katika serikali ya Mkoloni?Nyerere alifanya kazi na serikali gani?What difference does it make ,being colonial government or other government?By the way unatofautishaje serikali hii na serikali ya kikoloni ikiwa system imebaki kuwa ile ile?Wakuu wa wilaya na mikoa ni mfumo wa kikoloni.Mambo yanafanywa kikoloni,kesi inasikilizwa kwa kiswahili lakini hukumu bado ni kwa kiingereza kwa kufuata mtiririko ule ule wa kikoloni..I dont get your point brother!
- Mwl Deo Kisandu Lakini si walikuwa watumishi haijalishi zilikuwa katika serikali gani iwe ya mkoloni au ya mtanganyika.
- Ben Wa Saanane Hiyo ndiyo hoja yangu,sasa Mandela na Jawahlal walifanya wapi kazi ?Maana umesema ndivyo ilivyo duniani pote.Epuka kusema au kuandika mamabo kama haya on public bila kufanya utafiti wa kutosha.Hivi Lula Da Silva alifanya kazi gani serikalini pamoja na kuwa Trade unionist kama alivyokua kiongzi wa madaktari Dr.Ulimboka?Maana yeye alifanya kazi kwenye Industries ambazo hazikua za kiserikali per se.
- Lucas Mabelele nadhani utakuwa wewe.au ndoto zako zilikuwa wakati ulikuwa chadema tu nini brother juha
- Imma Saro Mwl Deo Kisandu Nashaka na uwezo katika kufahamu dhana zima ya utawala wa nchi.Kiongozi nchi sio lazima awe na hizo sifa zako ikiwa ndio kiegezo chako watawala waliko wanauwezo wakuliongoza taifa,Tuitazame wizara ya Elimu Mzigo waziri alikuwa mtumishi wa umma kwa kipindi kirefu,Makinda nae hivyohivyo,Pinda ndio kaishi ikulu lakini wote wameshindwa kuongoza,
- Ben Wa Saanane Ni jambo la ajabu kwa Mwalimu mwenye kiwango cha taaluma kufikiria vigezo nje ya vigezo au matakwa ya kikatiba.Baadhi ya watu wananyimwa haki ya kuchaguliwa kwa kigezo tu 'Hatuwezi kukabdhi nchi'.Sijui ni watu gani hao waliokaa na kupitisha azimio la ovyo kiasi hiki.Katiba ya nchi inasemaje?Wanasiasa vijana tuwe makini ,vijana wengi wanapita humu na wanategemea kuwa inspired....! Tutumie weledi tunapoandika jambo lolote humu.
- Aziz Rashid Dah!Ktk wa2 niliokuwa nawaheshimu bac ni Teacher Kisandu lkn kwa hii post umeji-destroy hakika!Ben wa Saanane kakupa vivid examples lkn nastaajabu wewe ni mwl wa design ipi hasa?!Salute 2 u,BEN!
- Imma Saro Ben Wa Saanane hivi Mwl Deo Kisandu anafahamu Historia ya Obama,Mugabe,Madiba,Abraham Lincoln na wengine wengi soma kwanza,pili andika
- Mwl Deo Kisandu NILIPO WAAMBIA TUNATAKA RAIS AJAYE AWE AMESOMA SHULE ZA KATA HAMUKUNIELEWA KABISA, SASA NAIMANI LEO MTANIELEWA VIZURI SANA NACHO MAANISHA. WATUMISHI WA SERIKALI NDIO KUNDI KUBWA LINALOPATA TABU KATIKA MAMBO MENGI, HIVYO MAJIBU YAKE NI HII POST.
- Imma Saro Kwa hiyo Mwl Deo Kisandu serekali imaajiri asilimia gapi ya watanzania hadi useme ndio wanaopata tabu? Pili fahamu wasio kuwa na ajira ni wengi na niwazuri kichwani ila kutoka na serekali dhaifu basi wamekosa nafasi.
- Mwl Deo Kisandu Ajira zipo ila watu wamekalia ushabiki tu na kutekwa mawazo na mara bomu la ajira litalipuka, tuna kosa ubunifu@imma saro
- Imma Saro Mwl nasikia uchungu mkubwa sana kusikia unasema ajira zipo, naona kama vile wewe sio mtanzania mwezetu kama ajira ziko ziko wapi? swali jepesi ni asilimia ngapi wanao hitimu elimu ya juu wanapata ajira,Ajira zipi unaziongelea huku viwanda vimeuwawa na watawala walio soma shule za umma walio fanya kazi ya utumishi wa umma kwa muda leo wameuwa viwanda,Swala la ajira tanzania ni ngumu sana labda kweko kwa kuwa ameajiriwa na chama wengine sio wanasiasa kama wewe, wengine hawana hata huo mtaji wa kujiajiri benk haziwathamini hata kidogo serekali nayo imeweka kisogo kwa vijana,,Tumia elimu yako kuwakomboa watanzia kupitia mabadiliko'
- Imma Saro Sifahamu unatumia viegezo vipi kusema kuna ajira kwa vijana,au kuchimba mitaro ya maji au kuwa vibaru au ndio hiyo unaizungumzia Mwl Deo Kisandu? Napia ni saidie Ushabiki upi unazungumzia kaka huku kodi iko juu;
- Roby Mmari We kibaraka 2, c moto wala c baridi,napata shida kujua elimu uliyonayo kama inakusaidia.nakupa jaribio kdogo,nenda kijijini kwenu gombea ujumbe wa serikali ya kijiji uone une utapata kura ngapi!
- Roby Mmari Unaposema rais ajae awe m2mishi kwa hoja hafifu kuwa wana matatizo mengi nakushangaa,je wakulima waseme nini? Nawao waseme ajae awe mkulima? Muhimu ni uadilifu,uwezo wa kuongoza na uzalendo.
- Erick Johnson · 8 mutual friendsMwl kisandu,hivi wewe ni mwalimu wa nn hasa?au ndo zile shule za lowasa zilizopika walimu wa miezi miwili?najua unachomaanisha lkn nakuona kama n mtu ulioishiwa hoja.
- Mtemi Andy Igatha Jr. uzi umeeeleweka wakuuu,mtumish wa umma ndo anapewa nchi,nyiee wafanya biashara cjui wauza unga itakula kwenu mtabaki huku kwenye mitandao ya kijamii mnalalama nchi inasonga.hatutak weka rehan nchi yetu kwa wahun wachache tuuu
- Roby Mmari Ndege wanaofanana huruka pamoja,m2 akiwa mchafu then ukamwambia n msafi haujamsaidia,vingivevyo unamkejeli.hakuna cha maana hapo,hoja mufilisi.
- Mtemi Andy Igatha Jr. we roby unatokwa povu naona,kwan mtumish wa umma hawahudumii wakulima ?ma afsa kilimo wapo wa kutosha bwana shamba cjui huko,we unasema hoja dhaifu na unaipinga kwa majibu dhaifu pia tukuelewe vipi sasa......jipange upya hoja ya Mwl imeeleweka cjaona mwenye jibu la kuifuta hii hoja lazma tuongozwe na rais mzalendo vngnevyo tunajuta wenyewe.....Dj,Padre,Mch,Sheikh hao wote wabaki sehem zao za kaz tu mbona wanawafuas weng pia sio lazma waongoze nch ndo mchango wao utambulike
- Roby Mmari Kwahiyo tafsiri ya mzalendo kwako ni m2mishi wa umma? Hoja c kuongozwa na m2mishi wa umma,hoja ni kumpata kiongozi mwadilifu na mwenye kuthubutu.unaweza ukampata kiongozi kama mwalimu aliyetoa mada hapo juu,hawez kuwa mwadilifu.umenisoma Mteni.
- D Tektiv Abby yaani umpe nchi nessi? au afisa mifugo? dah majanga.meya akiwa rais ikulu itajaa wagambo
- Godfrey Opudo Tunataka Maendeleo Mambo Ya Historia Na Utumish Hautuhucu Aje Hata Mlev Ila Atimize Mahitaj Yetu Au Ndo Promo Zimeanza !!
- Sylivester Machanya Nilimpoteza MAMA kwa uzembe wa daktr na nes, wa2 wengi wamefariki wakiwemo wajawazto kwa kukosa rushwa ya kuwapa hao madaktr na manes wako, nilishndwa kesi mahakaman kwa kuwa ckuwa na rushwa ya kumpa hakim, watoto wanamaliza drs 7 bila kujua kusma na k...See More
- Proje Mwemezi rubbish atakaepitisha kigezo hiki sidhani kama anaitakia mema nchi kwani kufanya kazi serikalini ndo sifa ya kufanya kiongozi awe bora?
- Justine Shija Huyu kijana kipindi tunatumikia kanisani kahama alikuwa na Hekima sana, sasa amekuwa jalala kabisa. Nilishamwambia umaarufu hautafutwi kwa Nguvu hivyo tena kupitia mitandaoni. Pia niliwahi mwambia cyo lazima kupost kila Cku, Ni bora ukae kimya watu wakufikirie Mpumbavu kuliko kusema na ukathibitisha Upumbavu wako.Habari zaidi ingia hapa: https://www.facebook.com/dkisandu?hc_location=timeline
No comments:
Post a Comment