Moses Machali katika mikutano yake Kigoma. |
BLOGU YA MWAFRIKA leo mezani kwetu tunakuletea mbunge kijana mwenye umri mdogo kabisa na mwenye heshima zake kutoka chama cha NCCR-Mageuzi, mbunge huyu aliondoka Chadema kwa sababu ya uhafidhina na kujiunga na chama cha NCCR-Mageuzi na kuibuka mshindi. Aliwahi kuwa katibu mwenezi wa chama cha NCCR-Mageuzi ila kwasasa ni NI NAIBU KATIBU MKUU na ndio tegemeo la sasa la Chama cha NCCR-Mageuzi.
Moses Machali akiwa Mtwara na ujenzi wa chama. |
JIMBONI KWAKE.
Amefanya mengi sana katika jimbo lake pamoja na kuwaunganisha wananchi wake bila kujali itikadi ya chama, amekuwa ni mbunge anayependwa sana na wananchi wake hasa kwa ukarimu wake na ukaribu wake na wananchi wake, hana makuu ni mtu wa watu na nikiongozi makini.
No comments:
Post a Comment