Thursday, 30 January 2014

DIWANI mfuasi wa ZITTO hatarini kutimuliwa, NCCR-Mageuzi wajipanga kumpokea.


Taarifa tulizozipata hivi punde ni kuwa Diwani Bobson Wambura wa CHADEMA kutoka wilaya ya Kahama atatimuliwa muda wowote, pia taarifa zaidi zipo katika gazeti la leo la TanzaniaDaima ukurasa wa 12. Kwa upande wa viongozi wa chama cha NCCR-Mageuzi wilayani Kahama wamesema wao wako tayari kumpokea pale watakaopomfukuza kwani wanamwonea na kumsingizia kisa tu anaonekana ni mfuasi wa Zitto. Maneno ya kufukuzwa yalitamkwa na Mbunge wa chadema john Mnyika kwenye mkutano wa hadhara wilayani kahama hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment