Monday, 27 January 2014
RAIS OBAMA amumwagia sifa kedekede Rais wa Afrika Mashariki.
Katika kile ambacho kilikuwa kinaonekana kama vile Rais Obama hamkubali Rais wa sasa wa Kenya na hasa kwa kitendo cha awali kilichoonekana kutokubaliana na mahakama ya ICC, pia kwa Watanzania baadhi waliona kama ni kweli hasa baada ya Rais huyo kuja Tanzania bila kufika nyumbani kwao Kenya, haya sasa kama zilikuwa ni propaganda au ni utaratibu wa ikulu ya Marekani na ratiba za nchi. Blogu ya Mwafrika inakushauri usome hii link hapa chini kwa habari zaidi na muache umbeya:
http://www.foxnewsafrica.com/obama-says-uhuru-kenyatta-can-be-able-to-unite-the-whole-africa-he-marshaled-54-african-countries-within-3-months-in-office/
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment