Monday, 27 January 2014
MASIKINI MKE WA RAIS ATENGWA KIMAPENZI....mapenzi ni dawa jamani,,,,
Kumeibuka hivi karibuni migogoro ya kimapenzi ya viongozi wa nchi, hivi karibuni tulisikia kuna mgogoro wa Rais wa Dunia na Mkewe, haya tena huko nako Ufaransa Rais wa nchi hiyo naye sasa ameingia kwenye mgogoro wa kimapenzi na mke wake hasa akidhaniwa kutoka na kimada kingine na kuonekana kumpa kipaumbele. Mkewe ameumia sana na kufikia hata kuzimia kisa mapenzi kupungua kwa mumewe ambaye ni Rais, je huu ni usaliti au ni mgogoro ndani ya ndoa?
TAKE NOTE: wanawake wakisha olewa huwa wanajisahau sana na hasa wakiolewa na watu maarufu au viongozi hudhani kuwa hawana ujanja maana wanajua tabia zao au madhaifu yao na akimwacha atamwanika hadharani, kumbe NDIVYO SIVYO.
Habari zaidi ingia hapa:
http://www.jamiiforums.com/international-forum/593467-breaking-news-french-president-split-from-partner.html
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment