Kutoka ukurasa wake wa Facebook, bandiko lake ni la kibusara zaidi na lenye mwonekana wakukemea maovu.
Anasema "Chuki za kisiasa za kiwango hiki ni hatari
sana. Viongozi wakuu kutokukemea mambo kama haya ni ishara ya udhaifu na
kukosa busara. Kamwe sitalipa ubaya. Wema kwa ubaya ndio silaha tosha
na mungu siku zote yupo na wanyonge. Nimechukizwa. Mola atawasamehe
maana hawajui watendalo."
Habari zaidi tembelea ukurasa wake hapa:
https://www.facebook.com/zittokabwe?hc_location=timeline
No comments:
Post a Comment