Monday, 27 January 2014

VYAMA VYA SIASA ACHENI KUTUMIA ADOBE PHOTO SHOP.



MAONI YA WADAU:  Leo Blogu ya Mwafrika iko mitaani ikitaka kujua mafuriko ya mikutano ya vyama vya siasa hapa Tanzania, kwa wataalmu wa maswala wa IT maoni yao wanasema nikuwa watu si wengi katika mikutano ila inatumika program ya Adobe photo Shop ambayo inaweza kuonesha watu wamejaa kwa wingi hata kama walikuwa watu 100 wakaonekana watu10,000. NUKTA.

No comments:

Post a Comment