Thursday, 30 January 2014

SIASA SIO UADUI, KUWA TOFAUTI KWA VYAMA SIO VITA, soma hapa kwa ukweli kamili.

Imekaa poa sana. Huyu jamaa kwasasa ni Katibu Mwenezi wa CCM(korogwe) ni Collegemate wangu wa Political Science enzi zile Sekuco(Charles Mganga). 

 Mh. Lema aliniachia msala wa kufukuzwa chuo2011 nilipomkaribisha kufungua tawi chuoni na kuongeza hasira utawala na nikalimwa barua mbele ya Mh. Lema na Nasary kabla hajawa mbunge na Kileo alikuwepo.

 Jambo hili lilinisumbua sana bila msaada wa chama mpaka waandishi kaka Mgazija wa ITV, wanafunzi wa sheria hasa kaka Joakim(polisi kwasasa) na huyu jamaa walionesha ushirikiano wa hali ya juu mpaka nikashinda shutuma zote. 

Nandipo nikamaliza chuo. Aksante Mungu. Vyama baadae Utaifa kwanza.

Makala hii imeandikwa na DEOGRATIUS KISANDU.
CHARLES MGANGA-ccm  na DEO KISANDU-nccr-mageuzi

No comments:

Post a Comment