Blogu ya Mwafrika ilikuwa ukumbini na kugundua kuwa Mbatia alikuwa na nafasi kubwa ya kushinda hasa baada ya kutoa hotuba iliyowagusa wengi kipindi cha ufunguzi wa kikao na hivyo tayari dalili za ushindi zilionekana baada ya wajumbe kuanza kumzungumzia nje ya ukumbi kuwa bado anastahili kuendelea kwa uhai wa chama.
Pamoja na yote Charles Makofila ni mwanasiasa chipukizi ambaye ameonesha ujasiri mzuri wa kugombea nafasi ya juu na kupambana na kiongozi mkongwe katika siasa za Tanzania.
No comments:
Post a Comment