Sunday, 16 February 2014

MAKAMU MWENYEKIT NCCR-MAGEUZI NAYE YUMO BUNGE LA KATIBA.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha NCCR-Mageuzi Taifa upande wa Zanzibar Ndugu Ambar Khamis Haji haji ni mmoja wa wajumbe walioteuliwa na Rais kuingia Bunge la Katiba. Tunategemea kupata Katiba bora kutoka kwa viongozi hawa.
ambari khamis haji picture

No comments:

Post a Comment