Sunday, 16 February 2014

MJUE MTOTO WA DKT. MVUNGI ALIYETEULIWA BUNGE LA KATIBA,

Dk Natunjwa Edmund Adrian Sengondo Mvungi.
“Naamini nimeteuliwa kutokana na kuwa na vigezo vilivyohitajika; nilipeleka jina na maelezo ya sifa zangu, nashukuru nikateuliwa natarajia kuwa wajumbe sote tutatekeleza jukumu lililo mbele yetu kwa kuzingatia mifano ambayo tayari imeoneshwa na viongozi mbalimbali, kupitia mijadala inayoendelea ya mchakato wa mabadiliko ya Katiba,” anaeleza Dk Natunjwa Edmund Adrian Sengondo Mvungi. 

SOURC: Mwananchi....http://www.mwananchi.co.tz/Makala/Tunda-la-hayati-dk-mvungi-kwa-watanzania/-/1597592/2208774/-/fklirt/-/index.html

No comments:

Post a Comment