Thursday, 6 February 2014

MKUU WA MAJESHI KUGOMBEA URAIS?



Mkuu wa majeshi nchini Misri ameonekana kuwa na nia ya kugombea Urais wa nchi hiyo hasa baada ya kuripotiwa na gazeti moja la Kuwait,  hata hivyo Mkuu huyo wa majeshi amekanusha uvumi huo na kusema wananchi wao ndio watakao amua ama agombee au rah. 
Chanzo: Capital radio(daladala)

No comments:

Post a Comment