Wasomaji wetu online, sasa mambo yamekuwa mambo Mwanasiasa mbunifu katika kila jambo ZITTO KABWE na mbunge wa Kigoma Kaskazini hivi karibuni inasemekana ametoa DVD zenye ujumbe mzitto sana kwa jamii na unaotishia hoja nzito za wasio na hoja, baadhi ya watu wameanza kuweka propaganda baada ya DVD hizo kupokelewa kwa shangwe, hata hivyo watu wanahoji je TRA zimelipiwa? Ona hapa majibu ya mwanasheria wa Zitto kabwe katika ukurasa wake wa Facebook:
"Kwa
mtu yoyote ambaye amewahi kwenda TRA kulipia stika ya ushuru CD ya
harusi yake au mazishi au ubarikio naomba anielekeze alipofanyia malipo
hayo nahitaji kumuelekeza mtu."
habari zaidi ingia hapa: https://www.facebook.com/msando.alberto?hc_location=timeline
Wakati huohuo kijana mtanashati katika siasa za Tanzania Habib Mchange naye kaandika hivi katika ukurasa wake wa facebook:
"Eti sticker za TRA....Vilaza bwana, aliyekwambia DVD zinauzwa Nani?....hatuwezi kuwauzia watu ukombozi Wa Fikra.........."
Habari zaidi ingia hapa: https://www.facebook.com/mchangehabibu
No comments:
Post a Comment