Tuesday, 11 February 2014
DAVID KAFULILA NAYE AJITOSA KUELEZEA MATOKEO YA UDIWANI, AWANANGA CCM.
Matokeo ya Uchaguzi mdogo wa Udiwani yameonekana kuwagusa watu wengi sana wakiwemo viongozi na wabunge mpaka wananchi juu ya kilichotokea kama simamnzi kwa upinzani baada ya CCM kuzoa viti vingi sana, Mbunge wa Kigoma kusini David Kafulila naye ametoa yake katika ukurasa wake wa facebook:
"Katika uchaguzi huu wa kata27, ccm ilikua na kata 23 na imeshinda kata 23, upinzani ulikua na kata4 na umeshinda kata 4 kwa mgawanyo wa cdm3 na NCCR 1. Naomba huo uzushi unaosambazwa kuwa ccm imeshinda kata24 ushindwe mara moja. Wameshinda kata 23 Sawa na idadi walokuwa nayo."
Habari zaidi ingia hapa: https://www.facebook.com/david.kafulila?hc_location=timeline
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment