Thursday, 6 February 2014

RAIS KIKWETE AWAASA TENA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA.



Rais Jakaya Kikwete amevitaka vyama vya siasa kutambua umhimu wao katika kupata Katiba Mpya na siyo kukwamisha bunge hilo na upatikanaji wa katiba. Pia amewaasa kuwa wasilumbane bali waangalie aina ya serikali wanayoitaka kwa maslahi ya Taifa, rais ameyasema hayo leo alipokuwa akiongea na Baraza la vyama vya siasa jijini Dar es salaam. TAARIFA YA HABARI-TBC

No comments:

Post a Comment