Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete jana aliwafumbua macho wananchi juu ya swala la katiba mpya, katika hotuba yake Rais alishangaa sana wale wanaodai kunahujuma au uchakachuaji katika Rasimu, alisema hii ni Rasimu siyo katiba inaweza ikabadilishwa yote au ikabaki kama ilivyo na yote itategemea na bunge la katiba mtakavyofikia muafaka. Mshindane kwa hoja na si kuweka visingizio. Blogu ya Mwafrika inapongeza Busara ya rais ili kuepuka malumbano yasiyo na hoja wala tija. |
Sunday, 2 February 2014
RAIS KIKWETE KWA HILI LA KATIBA MPYA,,,,,,WAPINZANI WAJIPANGE KWA HOJA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment